Sunday, February 20, 2011

WATOTO HAWA WANAHITAJI MSAADA WAKO WA HALI NA MALI!!






Naweka kumbukumbu sawa kwa kuwa ni wazi kabisa baada ya Milipuko ya mabomu kule Gongo La Mboto kuna watoto wengi ambao wanahitaji msaada wako wa hali na mali!! Jitokeze na uwasaidie watoto hao na malipo utayapata kwa Mwenyezimungu!! (Picha kwa Hisani ya Edwin David Ndeketela)

No comments:

Post a Comment