Thursday, February 17, 2011

ARSENAL WAIANGAMIZA BARCELONA EMIRATES!!









Klabu ya Arsenal imeanza vizuri michezo yake ya mzunguko wa pili baada ya kuichakaza Barcelona kwa magoli 2-1!! Arsenal walitoka nyuma na kufanikiwa kuwachakaza Mabingwa hao wa Spain na hivyo kujiweka katika nafac nzuri kabla ya mchezo wa Pili!!

No comments:

Post a Comment