Thursday, February 17, 2011

MATUKIO YA GONGO LA MBOTO KWENYE PICHA!!














Haya ni baadhi ya Matukio katika picha yakionesha hali ya mambo ilivyo katika eneo la Gongo La Mboto!! Wakazi wakionekana wakihaha, mabaki ya mabomu nayo hayakukosekana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea huko!! (Picha kwa Hisani Ya Edwin David Ndeketela)

No comments:

Post a Comment