Thursday, February 17, 2011

MILIPUKO YA MABOMU YATIKISA GONGO LA MBOTO!!








Mabomu yaliyolipuka katika Kambi ya Jeshi iliyopo Gongo la Mboto Jijini Dar Es Salaam yamezua taharuki na kuacha simanzi kwa kusababisha vifo huku wengine wakijeruhiwa na wapo waliosalia bila ya Makazi!! Haya ni baadhi ya matukio yaliyopatikana!!

No comments:

Post a Comment