

Hili ni Jopo kutoka Umoja wa Afrika AU likihaha kumaliza mtafaruku wa kisiasa nchini Ivory Coast uliozuka baada ya Uchaguzi Mkuu!! Rais aliyetwaa madaraka kimabavu Laurent Gbagbo anashinikizwa kuondoka na kumpisha mshindi anayetambuliwa na Jumuiya ya Kimataifa Alassane Ouattara!!
No comments:
Post a Comment