



Washika Mitutu wa Jiji la London, Arsenal wameendelea na laana yao baada ya kushindwa kuchukua Ubingwa wa Carling kufuatia kupatiwa kichapo cha magoli 2-1 mbele ya Vijana wa Birmingham City!! Matokeo hayo yameacha kilio kwa wanazi wa Arsenal kote ulimwenguni ambao walihisi mkosi ulikuwa umewatoka!!
No comments:
Post a Comment