Wednesday, January 12, 2011

ARSENAL WABANWA CARLING CUP!!




Robo fainali ya kwanza kati ya Ipswich Town na Arsenal imepigwa na kushuhudia Washika Magobole wakichapwa goli moja kwa nunge!! Huu ni muendelezo wa kusuasua kwa Arsenal ambayo ina mchezo wa marudiano na Ipswich na kujua nani atasonga mbele!!

No comments:

Post a Comment